Mtu anayeandika ripoti za uongo na uchochezi kwa mataifa ya Ulaya na jumuiya za kimataifa kuwa nchi yetu si salama hapaswi kukaribishwa Tanzania ...!! Lissu abakie huko alipo.
Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali. Mafanikio haya yameandika historia kubwa kwa klabu na sekta ya michezo nchini. Mmeleta furaha kwa mamilioni ya mashabiki wenu na Watanzania kwa ujumla.