*BIRIANI KILA IJUMAA*
*Kila Ijumaa chakula kitamu Mwanza pale Flex Zone karibu na jengo la Maji cha biriani kinapatikana kwetu. Ukiwa ofisini, nyumbani .Wala usipate shida. Chakufanya ni kupiga simu
☎️0679789838
Biriani Nyama 5000
Delivery ipo
Kindly RT
@siimasoud
Konda pekee anaye jali kazi yake. Nilipo muuliza mbona uko tofauti na wenzio? Alinijibu kaka sio kila konda ni mchafu na asiye na elimu. Nimekuja kukusanya hela za chuo. Ilibidi ni nyamaze nakuanza kufikiri kijacho #KaziNaBata Ila wasukuma bana @MarekaMalili 😀😀
Kabisa kaka, tumekuwa tunasikia wapizani wanasema ccm hata umchukue Obama awe raisi kupitia ccm hata deliver kitu, alaf tena Leo tunasema membe anafaa kupitia ccm like seriously, ohhh we r dancing our own tune, angalizo, wapizani wasipo kuwa makini na zitto +lema watapotea san
Inashangaza Kidogo Wapinzani Ndio Wanaosema Membe Anafaa.
Kesho Membe Anaibuka Ikulu Anatema Cheche.
Wapinzani Wanabaki Wanashangaa Mwisho Wa Siku Wapinzani Wanaonekana Wazee Wa Kudandia Hoja.
CCM Itaendelea Kupiga Ngoma Wapinzani Wakiwa Wachezeshaji Siku Zinazid Kwenda.
Lakin si huwa tunasema tatizo sio mtu tatizo ni ccm, sasa iweje membe kupitia ccm awe bora? Mara kadhaa tumesikia kelele kuwa hata umchukue mh Obama, Kenyatta, au yoyote yule kupitia ccm hata deliver kitu, ama namna gani?
President @MagufuliJP threatens “ opposition leaders will end up in jails “Saying this infront of Chief Justice. I hope Judiciary will issue statement,otherwise we believe that all the cases we opp leaders face in various courts are politically motivated & order is ‘ JAIL THEM ‘
Kumbe tutaishia magereza sio kwasababu tuna makosa ya kuweza kutupeleka magereza bali ni kwasababu hatutaki kutulia!!!! Nategemea kusikia kauli ya mahakama kuhusu hili.
Heb Mwambie Jirani ako "Usifute Comments" 😂
MTWARA!!! MTWARA!!!!! MTARA!!!! .......nimembiwa kuwa Korosho Zinafaida pia kwenye Sita Kwa Sita....... Tafadhali Niekeeni Pakiti za Kutosha.... 👋🏼👋🏼
24 /11 /2018... https://t.co/DQe6z8h6EU
KENYA: RAILA ODINGA AZIPA MKONO WA KWAHERI SIASA ZA KENYA
>Raila Odinga kupitia ametangaza kutogombea katika Uchaguzi Mkuu wa Kenya mwaka 2022.
> Hii ni baada ya kuwa Mkuu wa Maendeleo ya Miundombinu kwa Bara la Afrika ndani ya AU
Soma ~ https://t.co/GLHsraJ8bX
#JFLeo