@Samwel_Mbiliko@FaradayMtz01@Hekmlik19 sasa makosa ya wengine ni yangu, swala ni lile liel kila mtu mgeni hapa duniani unachoona ni makosa, kwa mwingine sio makosa
@Kil0voltI Kwanini na wanawake wasiruhusiwe kuwa na wanaume wengi ,maana hata kwenye maandiko kuna wanawake waliolewa Tena , kama unataka wanawake wengi slimu mkuu utaoa wengi au oa bila ndoa ya kanisani,ila kama unataka dini ibadilishe haiwezekani maana hawawezi enda kinyume na maandiko
@generouslyy@RazackGamal@KennedyMmari Wana option ya kusubscribe bundle la miamala mfano unasubscribe 1000 kwa mialama ya 50000 kwa siku then utafanya mialama yako yenye thamani ya 50k kwa ile gharama ya buku uliolipia bando hautachajiwa makato ya aina yoyote ndani ya hiyo pesa
Kwa hiyo kuna mabasi yanayolipisha nauli na safari hakuna? Shida siyo kukatwa pointi, ni siasa za kurudi Shekilango. Let me make this clear road safety is non negotiable. Wamiliki wa mabasi yaliyogoma wana jambo la ziada, vyuma vimegoma baada ya kikao na Mhe. Patrobas.
@marxwelbe@Hon_KibayasiF Umeongea vizuri kuwa mtu hapaswi kukaa kijiweni na kulalamika sasa tuambie muda huo wewe unakua wapi hadi unajua kuwa watu wanakaa kutwa nzima wanacheza bao na karata huku wakiwa wanalalamika?