Kama unaona mtaani kwenu kuna kipaji kikali cha mpira wa miguu mtaani kwenu nicheki DM
Repost na Retweet kila mtu Asione nyakati kuinua vipaji vya soka vinavyofia mtaani
@X_birthdayy@MarekaMalili Hii ni ile tu kupeana sapoti ila kiuhalisia unakuta jamaa akilewa ndiyo hizi mambo za sijui binti yangu hivi na hivi ππ