Nimepita pale Tanzanite Bridge nikaona couple moja Kama wahabeshi hivi, wameshikana mikono wanatembea hapo kwenye bridge wanacheka, wanafurahi, nywele za bidada zipo hewani, wote wamevaa โgogosโ za Jua, Jamaa handsome flani hivi, anamchesha mwanamke wake. What a beautiful Moment!
@MsigwaGerson Mbona hatuwaelewi mkuu?
Sasa huku tozo zimepungua mara tozo zimeongezeka
Tuwaambie nini wananchi,tuwe na kauli moja sio mtuambie tutulie wizara inakuja na taarifa
KAZI IENDELEEE ๐