@livemba_saidi@hamzaalbhanj Na hapa, watu wengi wanaangalia vigezo ambavyo si sahihi kwenye hili suala.
Pesa ambayo inaingia ndani ya kijiji kimoja tu kwa msimu mmoja wa korosho kwa mikoa ya Lindi na Mtwara ni pesa nyingi sana.
Mtu ambaye si wa kusini hawezi ku-imagine ninaposema pesa nyingi
@SalimuIbwe Ulichoandika kuanzia sentensi ya pili ni uongo...
"Familia nyingi hazipiki nyumbani"❌ Si kweli
"Baba akiamka asubuhi, anagawa Fedha za matumizi ya siku kwa Familia nzima, kila mmoja atakula anapopajua mwenyewe." ❌ Si kweli
Ulichoandika kuanzia sentensi ya pili ni uongo...
"Familia nyingi hazipiki nyumbani"❌ Si kweli
"Baba akiamka asubuhi, anagawa Fedha za matumizi ya siku kwa Familia nzima, kila mmoja atakula anapopajua mwenyewe." ❌ Si kweli
Msimu wa Korosho Mtwara hata Vijijini kabisa Chips zinapatikana. Familia nyingi hazipiki nyumbani.
Baba akiamka asubuhi, anagawa Fedha za matumizi ya siku kwa Familia nzima, kila mmoja atakula anapopajua mwenyewe.
Je kuna uwezekano wa hii Jamii kupewa Elimu ya Fedha kabla ya Msimu kuanza?.