Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam leo limeadhimisha misa takatifu iliyoambatana na ukusanyaji wa mavuno.
Kati ya Dekania 16,Dekania ya Mt Petro-Oysterbay imeongoza kwa kuchangia 1.08B
#MavunoJimboDaresSalaam
@AlexSamoja Haha Kuna Mali iyo nilikutania nayo Lugoba sec form five 2017 inaitwa betha i think so๐ค
Ile kulipoti tu PCB naazima chandi yake nakutana na ticket yake ya ndege nikashtuka .....
Betha n Mali flani hivi mchina sio mchina kuchanganya rangi na uphilipino na rangi YETU bnge la mal
@livemba_saidi@hamzaalbhanj Kwanza mtama sio kijiji bna ๐
Ustaharabu upo na awareness upo Toka enzi hizo watu Wanazungumzia kiushabiki sana ....
Lakni vijiji na maisha ya watu wa kusini Kuna Ile level ya maisha per mtu living same