@BillyTronix1 Sasa Timu ya Africa ila wachezaji wote wamezaliwa or kukulia Ulaya unahisi kuna gap hapo utaliona.....!!?
Chukua Timu kama https://t.co/SYCmiut3xA, Algeria ambao wachezaji wengi ni wazawa/wandani uone gap
@Bigsyke20 Mnatumia na akili kwenye Imani sio...
ππππ
Machizi acha waende motoni, alafu Moto upo tu hata sio wa kushindania kila mtu atapata kwa mda wake.
@Jackson21161399@nurdin_mma60285@SimbaSCTanzania Kujiuzuru ni Jambo la kisheria lililowekwa ili kuepusha mambo kama haya.
Kwa performance ya Simba ya msimu huu kufukuza makocha tu wala sio solution inatakiwa waanze upya kuanzia juu ndio mana kuna nchi hata mmiliki anaamua kuachia Timu ili ije akili mpya.
@kasesco_tz Ukifika hapo Jua kabisa unaforce kuishi maisha ambayo sio yako...
Mwanamke aliefunzwa hawezi nyanyua mkono kumpiga Mama mana ni sawa na kumpiga Mama yake mzazi so hawezi kuja kukuheshimu wewe mtoto.
@Realbarahimana1@mwendambande@MarekaMalili Kurudie final zote unazozifahamu wewe za ulaya hata Dunia uone utofauti wa refa kuhandle game ya final na game za kawaida.
Final game tension inakuwa kubwa watu wanakuwa aggressive sana na mechi ikichanganya contact ni kitu cha kawaida ile kadi ya jana refa alijua anachotafuta.
@FKihamu Hizi ni biti za kutaka kuficha ukweli kuwa shirikisho lipo na kasoro nyingi.
Timu za viongozi wakubwaa wa shirikisho zimekuwa na matukio mengi ya utata mfululizo na hakun hatua zinachukuliwa.
Kama hawataki tushikiriki Wasem tuendelee na mamb mengine.
Wanasubiri FBI ndio watakubal
@BesteNicolas Enzi hizo mchele hadimu toka Mbeya(Supa) ulikuwa ukipikwa mpaka mtaa wa 3 mnasikia harufu ila siku hizi mabonde ya Moro yanatoa mpunga unakula mlo mmoja humaliziπ
@29litman@denismicky22@sarvjr@babalao__ Kwahiyo dakika za kadi zinaachwa zipotee sio...!!?
sema alietufundisha kupoteza mda ndio ujanja uwanjani alitukosea sana mana leo hii fourth official na Ref wa kati wana records kila upotevu wa dakika usio na maana.
Ndio mana FIFA wanataka Hadi dakika za kufanya Sub zifidiwe.
@MarekaMalili Haina noma mkali...
simple life linaweza kufanya uishi 100+ sema hili life la kizazi chetu hapana wala sio wema ni complexity ya life tu inatuondoa kuanzia chuki za wenyewe kwa wenyewe, ajali mpaka magonjwa.