Wafuasi wa Chama cha ACT Wazalendo wakisoma Gazeti la Nipashe wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho,Wakili Peter Madeleka.Uzinduzi wa kampeni hizo umefanyika leo Septemba 5,2025 katika eneo la Kivule, baadhi ya vipaumbele vya mgombea huyo akishida ubunge ni....
✍🏿Elimu: Kupanua na kuboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari, kujenga madarasa na vyoo, kuhakikisha upatikanaji wa madawati na vitabu bure kwa wanafunzi.
✍🏿Afya: Kuboresha vituo vya afya vilivyopo, kujenga vipya kwenye maeneo yenye uhitaji, kusimamia upatikanaji wa dawa na kuhakikisha akina mama na watoto wanapata huduma bora bila vikwazo.
✍🏿Ajira: Kuanzisha programu za ujasiriamali kwa vijana na wanawake kupitia vikundi vya kijamii, kuwezesha mikopo midogo na kuimarisha mafunzo ya ufundi stadi (VETA).
✍🏿Miundombinu: Kuboresha barabara za ndani ya Kivule ziweze kupitika mwaka mzima, kusimamia upatikanaji wa maji safi na umeme, pamoja na kufuatilia miradi ya maendeleo kwa uwazi.
Tembelea https://t.co/kwAYTrPBHm kusoma gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
#NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari
Risiti nyingine imeibuka!
2020 Bora uhai kuliko ubunge na ruzuku
2025 Ubunge muhimu kwa gharama yoyote
Eniwei #LindaKura hai make sense kwa mwendo huu - tubaki njia kuu ya #NoReformsNoElection 👊🏽🔥
Huu ndio uzwazwa wa akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa, CHADEMA kwa kuendekeza umimi ndio wamechangia kurudisha nyuma harakati za kudai mabadiliko ya kweki, walipopata nafasi ya kuwa kinara wa upinzani wameuwa harakati, kushambulia vyama vingine, na sasa wao kwa wao CDM.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Mara, Chacha Heche, amesema kuwa hadi sasa chama pekee cha upinzani chenye uwezo wa kuibana CCM kisiasa na kulazimisha mawazo mapya ni CHADEMA pekee, akisisitiza kuwa hakuna chama kingine cha upinzani chenye ushawishi na nguvu sawa na CHADEMA @ChademaTZ2 .
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa programu ya CHADEMA Family jijini Musoma, Heche amesema: “Mshindani anayeweza kusababisha CCM ilale iwaze uchaguzi ni CHADEMA pekee, hakuna chama kingine.”
Heche ameendelea kueleza kuwa baadhi ya watu wamekuwa wakijaribu kulinganisha harakati za sasa na TANU, lakini kwa mtazamo wake, CHADEMA imepitia mapambano makali zaidi kuliko chama chochote cha kisiasa kilichopata kutokea nchini.
Heche amelenga kufafanua kuwa uhuru wa pili unaozungumzwa na CHADEMA ni pamoja na uhuru wa kweli wa wananchi kuchagua viongozi wanaowataka kupitia uchaguzi huru na wa haki.
"Halafu kuna watu wanatuambia tuwaache CCM waendelee miaka mingine 5 kutawala bila kuwa challenge. Kwamba tuwaache tu, waende, tuwasusie tu, haiwezekani" @zittokabwe#MuhuniHasusiwi
OKTOBA #LindaKura
Ngoma ya kitoto haikeshi, msikubali akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa. ACT Wazalendo waliwaandikia barua CDM ili kukaa na kutakari mwelekeo wa uchaguzi Mkuu, wakawa kimya. Wakajifungia wenyewe wakaja na NoreformNoElection alafu eti wanataka ACT Wazaleno waunge mkono yagujuu
Heche anasema:
“Wako tayari kujadiliana na CCM na kuingia kwenye uchaguzi baada ya mabadiliko ya SHERIA”
Nashauri
*SHERIA zinabadilishwa na BUNGE
*BUNGE limisha linavunjwa 3/08
*Rais hana MAMLAKA ya kikatiba kulirejesha Bunge isipokuwa pale kuna HALI YA HATARI baada ya hapo.
Basi Bwana Yesu akasema mtawajua kwa matendo yao. Yaani Brother Zitto anasema Reforms haziwezekani. Tena anasema kwa sauti kubwa kuliko wenye mamlaka. Hapa ndipo unapujua similarities kati ya Mic na Speaker.
VIDEO:
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema chama chake hakitashiriki mpango wa kususia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama ilivyopendekezwa na CHADEMA @ChademaTZ2 , kwa sababu historia imeonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccm_tanzania hakijawahi kutikisika hata pale vyama vya upinzani vinapoungana kususia uchaguzi.
Akizungumza Jumanne katika Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Jimbo la Kigamboni mkoani Dar es Salaam, Ado Shaibu @AdoShaibu amesema chama hicho kitaendelea kuamini katika mikakati ya kukabiliana na CCM kwa njia ya kisiasa kupitia sanduku la kura, badala ya kususa uchaguzi.
“Wanaosema wapinzani tukiungana kususia uchaguzi CCM italeta mabadiliko, sielewi wanazungumzia CCM ipi! CCM hii ya Rais Samia na Nchimbi au CCM ya China?” amehoji Ado.
Akikumbushia historia ya kisiasa ya hivi karibuni, Ado amesema kuwa mwaka 2016 vyama vinne vya upinzani chini ya mwavuli wa UKAWA, pamoja na ACT Wazalendo, vilisusia uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar. Lakini licha ya hatua hiyo ya pamoja, alidai kuwa CCM haikuonesha kuguswa na badala yake iliendelea na mchakato wa uchaguzi kama kawaida.
“ACT Wazalendo tulikwenda mbali zaidi hadi tukamsimamisha Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu alipotaka kushiriki uchaguzi huo. Lakini CCM haikujali. Dawa ya CCM ni kukomaa nao kwenye uchaguzi, siyo kuwakimbia,” amesisitiza.
Hakika hauwezi kumdhihaki Zitto Kabwe Martin Maranja Masese, Zitto ni kiongozi mkweli, jasiri katika kupigania demokrasia ya kweli, matapeli mmeshirikiana kukisambaratisha chama cha manyumbu kwa manufaa ya CCM
Electoral reforms sio ndio minimum reforms mlizokuwa hamtaki na kutukana wote waliotaka minimum reforms kulingana na muda. Nyie mkasema muda upo hakuna haja ya minimum reforms. Mimi sijui hata huwa mnataka nini ,you are neither focused nor strategic.
Zitto ni kiongozi jasiri, hodari na mpambanaji hajawahi kukimbia nchi yupo mstari wa mbele kuleta ukombozi wa kweli nchini, Maria Sarungi Tsehai unatumika na CCM, umewaingiza mkenge CDM, sasa hawajuwi wafanye nini, njoo ushirikiane nao kuzuia uchaguzi nyumbu mkubwa weee.