Tanzania’s Opposition Leader was Shot 16 Times. Now He's Challenging the President https://t.co/VcutxufB9Y via @vice
Ndo maana nasema #TutaelewanaTu#ChangeTanzania
HATUSHINDANI na CCM tena. CCM WAMEKATALIWA. CCM hawapo. wagombea wao wanapata taabu kuomba kura, hadi wanapiga magoti. Hawana ahadi mpya. TUNAPAMBANA na DOLA na TUTASHINDA uchaguzi, TUONGOZE serikali na bunge. CCM sio chama cha siasa tena, ni GENGE. kasirika for your own risk.
@SuluhuSamia Hongera sana Kwa kampeni, police wako wanamdhalilisha mwanamke mwenzio(Ester Mariko) kwa kumuweka kidole mkunduni ni Sawa?Wamevamia nyumbani kwake na kukamata walinzi wake na kufanya kitendo hicho Kwa mwanamke kama wewe ni Sawa?Shame on you!
Kesho nimetakiwa nifike Kamati ya Maadili ya #ZEC saa 7 mchana. Eti nimelalamikiwa na Chama cha Demokrasia Makini kwa kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27. Wanataka kuni-Lissu. Hawa wanatumika na CCM. Kama Mwinyi ana hoja akajibu jukwaani. Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27.
An early morning date with Ukerewe Islands found us at the Kisorya Ferry point across the Lake from Ngoma in Ukerewe where I mixed with fellow commuters.
ALERT KWA WATANZANIA WOTE BARA NA VISIWANI
👉Banks zote zimepewa maelekezo hakuna kufanya kazi 72 hours kabla ya uchaguzi
👉Accounts zote zitakuwa frozen for 72 hours kabla ya uchaguzi na haijulikani zitafunguliwa lini.
Sasa kama una hela zako bank kuna hilo linakuja
JIPANGE ✌️
Wakati ni jambo jema kwa Rais Magufuli kusali pamoja na viongozi wa Kiislamu wakati huu wa kampeni, lingekuwa jambo bora zaidi angewaeleza Waislamu kwa nini serikali yake imejaza magereza yake na Masheikh wa Uamsho na Masheikh wengine kwa sababu ya tuhuma za uongo za ugaidi.
Jeshi la Polisi linajianika hadharani. Si utendaji wa busara. Hujuma hizi haziwezi kusaidia kamwe. Walifanya hivi pia kwa Mgombea wetu John Heche. Hata kwa kuisaidia CCM, wananchi Oktoba 28 wanasema #SasaBasi na kukomesha uhuni huu. Tunalaani vikali. Hatukubali.
Juu ya changamoto zote tulizopata, na tunazoendelea kupata, tumefika.
Tumewasili Ukerewe kwa mtumbwi wenye injini. Ila leo wameleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wenzetu wa #Ukerewe & #Kisorya
Asanteni na Mungu awabariki.
Retweet 🔁 tuwaambie tuna jambo letu tarehe 28 Oktoba!
Tumewasili Ukerewe kwa mtumbwi wenye injini. Magufuli na CCM yake wanatapatapa, wanafikiri kwa kuzuia kivuko wanamzuia #TunduLissu2020 ila wanaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wenzetu wa #Ukerewe na #Kisorya.
Retweet 🔁 tuwaambie tuna jambo letu tarehe 28 Oktoba!
#ChaguaLissu
Leo ni Siku ya Nyerere. Tunamkumbuka jabali, kiongozi,kiongozi shupavu,mwalimu, msomi,mtu,mtu wa watu,na mtu katika watu,Mtumishi wa Mungu.Tunamwomba Mwenyezi Mungu aendelee kuirehemu roho yake nasi tujaribu kufuata mafundisho yake.
Picha:Aliponialika nyumbani kwake Butiama,1993.