@EngMapundajr Tuwapigie kelele kuhusu miundombinu lakini tukisema tuwachekee tutakua tunarudi nyuma dunia iko mbio sana muda ni kitu muhimu suala la safari za usiku ni lazima kaka
@eyewitness_eye@lwaitama1 Kuna watu wamejaa uchochezi tu kichwani,bila facts na wamejua humu x wajinga siku hizi nao wamo kwa hiyo wanatumia njia hiyo kuwasomba