Katika Afrika mashariki mwanaharakati P O L Lumumba laia wa Kenya, Waliosalia ni vibaraka wa mabeberu na wamejifanya vipofu maana hata hiyo elim wameyoipata wengi wao ni kodi zetu walalahoi.
@fatma_karume Unafiki na uzandiki..ndio ninaojifunza hapa hakuna wanaharakati wala wapigania haki hapa bali nyuma yao wana historia zao zenye maumivu fulani..xo that wapo hapa kutu induce wazimu ili tuwe vichaa kama wao tukae upande wao kutetea maslahi yao..#Stupidityisnomore
@naytrueboytz Ulipotoa Wimbo wa SAUTI YA WATU nilikuasa kua makini na WANASIASA! Sasa naona wamekunasa, nilikua na mashaka sana kama utakua na msimamo wa kubaki na UANAHARAKATI.
@naytrueboytz Umeanza kua muoga!!! Mwanaharakati na kifo,jela,nk ni km maisha ya maji na samaki,sasa walinzi wa nini!? Mtu anaekua mtetezi wa wanyonge ni nadra kuishi maisha ya amani,jela au kifo hua haviogopi.
@fatma_karume Imekua ni silka ya serikali,Akina jenereli Ulimwengu na Maalim Seif walipokuja na hoja na zaidi Muungano kilichotokea wabunge 55 walitimuliwa bungeni!!!! Miaka zaidi ya 60 ya uhuru mtawala na mtawaliwa wanaishi maisha ya panya na paka,hili ndilo bara letu la Afrika.
@fatma_karume % 96 ya viongozi wa Afrika toka tulipo pata uhuru tumewakosa WAZALENDO, kumbe afadhari hata wazee wetu akina MKWAWA na wengineo waliokua tayali kuyatoa maisha yao kwa ajili ya wananchi.
@naythetrueboy KWA HARAKATI UNAZOZIFANYA NAHISI CCM, CHADEMA,ACT WANAWEZA KUKUTEKA, NB KUA MAKINI NA WANASIASA BAKI NA MSIMAMO WAKO. Binafsi nawapenda wanaharakati.
@ntakije_iddy Tatitzo la uongozi hasa katika bara la Afrika, mfumo wa uongozi unataka kua kama wa kifalme!! Watoto na wajukuu wa wazaz au babu zao waliobahatika pindi nchi zinapewa Uhuru wanataka kuziongoza nchi kama wanahatimiliki kmbe akitokea mtu MWEREVU nnje ya hizo familia wanamnyanyapaa!