NFTs in 2022 are like social media of 2010 or we can say it is real estate of 1990 and such opportunities are very few in this world๐ Plant-Based Athlete ๐ฑ
@Salym BBC ulimwengu wa soka huyu Mzee Mwalimu naomba umshauli ana kula mda wa kutangaziwa matangazo ya soka, anatumia mda mrefu akiingilia matangazo ya soka.Anareza vitu anavyoona Yeye. Au akae kwa wachambuzi. Ana boa
@HildaNewton21 Nikiwauliza hao watoto kuwa wanasoma ili wawe kwny nafasi gani kupitia elimu yao Huwezi kosa anaetaka kuwa Rais wa Nchi
Wakati Rais wa sasa anajenga klabu za simba na Yanga ambazo lazima hazita chukua hata hayo makombe.
Tunahitaji kuwa na MFUMO WA HAKI JINAI ambao HAURUHUSU watu KUPOTEA au KUPOTEZWA. Familia za akina BEN SAANANE na AZORY GWANDA zina MAUMIVU yasiyoisha kutokana na MFUMO huu MBOVU. Ni MUHIMU @TumeHakiJinai AKAZIHOJI familia hizi ili KUPATA UZOEFU wa MAUMIVU yao.