Ni kama vile mitandao ya simu (MNOs) imewekeza zaidi kwenye mobile data na kusahau normal calls, issue ya call failed ni tatizo kubwa sana hivi sasa. @NjiwaFLow@TOTTechs@HabariTech Tatizo ni nini hasa?
@mananajr_@gabyconscious Mara wana chuo kikuu, kilikua kimekufa ila kimefufuliwa upya, majengo mapya yakajengwa na nadhani tayari kimedahili wanafunzi mwaka wa masomo wa 2025/2026
Reactive fraud management exposes organizations to serious risk. Many growing businesses collapse because they fail to adopt proactive fraud prevention strategies.
Accomplished over 50 UDSM UDSoL Undergraduate Legal Dissertations for over 3 years. A milestone in Legal Research. Canโt wait for new challenges in Postgrad and more!!
Naona TTCL wameamua kuwa serious aisee mitaa ya Kimara huko fiber imetandazwa kila kona, matangazo kama yote, watu wa sales wapo hapo hapo, unaapply unafungiwa siku hiyo hiyo.. Spidi ndo hiyo๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ@NjiwaFLow@TOTTechs@ITexpertTz@Adventure_36