@Nuruvazi01@mangekimambi@MariaSTsehai hii ndo imeanza hivi, hatupoi. tutatii maelekezo yenu kwani mmedhihirisha KAZI njema iliyotukuka kwenye hukumu ya wahuaji dhidi ya Tundu
@PMadeleka Mawakili fanyeni jambo tupate matokeo. Nawaamini sana ila nyie hamjiamini. muigeni madreva wa darasan la Saba waligoma wakatetemesha serikali
@royalmediatz hakika hii ni namba ya maajabu, unapozigawanyisha ama kuzidisha baina ya namba mbili kati ya hizo tatu , mjibu limo humo humo kati ya hizo namba!!
@royalmediatz hatimaye Gereza limemsajili Antipas Lisu kwa namba ambayo ukizidisha unapata idadi sawa na lisasi zilizofyatuliwa kwake wakati wa jaribio la kutaka kumuua. Hakika huyu kiumbe aachwe tuuu
@godbless_lema Lema unavyoongelea na kuilaumu jamii mara zote ni sawa, lakini unanitafakarisha siku Ile mahakamani mh, mahinyira anakwidwa mbele yako lakini ulitoka nduki sana mzee! hukusaidia chochote, sasa sijui wewe unataka siehuku mashambani tuchukue hatua IPO kukomesha haya madhira?