@wizara_afyatz@ummymwalimu Punguzeni siasa kwenye mambo ya msingi!
Serikali isiyojali huduma za afya kwa wananchi ni serikali ya hovyo kuwahi kutokea๐ฎ, yan suala la utu siku hizi halipo kabsa, kwenye kituo cha afya mtu anakufa kwa kukosa huduma kisa fedha! So sad
@ummymwalimu Mkipita majukwaani na kwenye vyombo vya habari mnatembea vifua mbele kwamba huduma za afya kwa wanawake wajawazito na wazee ni bure kwenye vituo vya afya na kauli mbiu yenu ya mama anaupiga mwingi!
๐ฎ
Acheni siasa kwenye uhai wa watu