Huu ndio ujumbe wa MCHUNGAJI kwenye msiba wa Angle.
Kuna watu wanajiona kwasasa wanaishi PEPONI kwa kutuumiza wengine.
Tutavuka hata hiki pindi ni suala la muda tuu.
HATA ukiwa na nyumba nne Mbweni.
Ipo siku watu usiowajua, wataishi humo na wala hawatajua kama uliwahi kuishi. Usikanyage watu ili kupata vitu. Tendea watu mema. Matendo mema yatakufuata kaburini na hata mbinguni.
Ikawe kareem Ijumaa yako.
📢 JIMBO JIPYA NA ASKOFU MPYA - NZEGA🇻🇦
Baba Mtakatifu LEO XIV ameunda rasmi Jimbo Katoliki Nzega (Kan. 372&1 na 373), likimegwa kutoka Jimbo Kuu Katoliki Tabora. Hili ni jimbo la 38 nchini Tanzania. 🇹🇿
Pia, Baba Mtakatifu LEO XIV, memteua Mheshimiwa Sana Padre Joseph Mashaka TRIPHON, C.S.Sp. kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo hilo jipya (Kan. 375 na 377).
Askofu mteule alizaliwa Januari 15, 1962, na kupata upadre Mei 27, 1995. Hadi uteuzi wake, alikuwa Paroko wa Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Bagamoyo.
Tumshukuru Mungu🙏🙏
Let us #PrayTogether for the proper use of wealth, that not succumbing to the temptation of selfishness,
it may always be put at the service the common good and solidarity of those who have less. Be a part of this prayer: https://t.co/1ZBHfoUbYl #PrayerIntention@clicktopray_en
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania.
Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea).
Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
Asante sana Kanisa Katoliki,nyinyi mmesimama na Watanzania.Asante sana Baba Askofu Wolfgang Pisa wewe pamoja na uongozi wote wa TEC.Mungu awabariki sana.
Dear friends, during some recent medical examinations, the doctors found a small, localized nodule in my lung. It was detected at a very early stage and is well-localized. The doctors believe that it is best to intervene, so, following their advice, I have decided to undergo surgery to remove it. The operation is already scheduled to take place in the coming days. I thank you for your spiritual closeness and entrust myself to your prayers.
Maisha ni bahati, kuna watu wanapambana kuliko wewe ila wanaweza wakawa hawana hata nusu ya ulichonacho, kuna mtu anaweza kukupa wewe fursa itakayobadilisha maisha ya na uenda hata humjui pia uenda hata yeye kwake hajui kama itabadili chochote kwako.