mabilioni ya pesa ya walipakodi yalitumika kugharamia zoezi haramu ambalo, hata hivyo, limefeli vibaya kwa pupa ya watendaji wa serikali viburi. nani atawajibishwa, au na hili nalo litapita kama vile hakuna kitu kimetokea?
MAFURIKO YA MWANZA leo.
Wananchi wakidai uwajibikaji wanapigwa RISASI ZA VICHWA na maiti zao kupotezwa kabisa ndugu zao wazike MIGOMBA.
Hapa wananchi wakiandamana utaambiwa wanatumwa na mabeberu wanaotuonea wivu na URANIUM YETU.
Sasa hizo URANIUM zinafaida gani kama mvua ikinyesha shida, jua likiwaka shida.
LINCHI LIMEOZA LINANUKA HILI.
Polepole alikuwa kwenye kamati ya Katiba mpya maneno yake yanaaminika alisema CCM mtandao ndio walikataa katiba mpya kwasababu waliona ni katiba ya Uadilifu.Mwananchi anamuuliza Mwigulu ni lini nchi itapata katiba mpya hapo hapo anahofia maisha yake kwa kuuliza katiba mpya tu
Bila msaada wa matibabu ya uhakika ndoto ya binti huyu aliyebahatika kuishi katika siku ya tarehe 29/10/2025 inaweza kukatishwa moja kwa moja.
Oktoba 29/2025 imeacha maumivu makubwa yasiyosahaulika katika familia nyingi.
Pole sana binti. Je, na huyu alikuwa muandamanaji?