@jgwajima Kinywa chako hicho hcho kilinena mbele ya madhabahu kua,mtumishi Wa Mungu ni mkubwa kuliko Diwani,mbunge na rais,vp tena mbona umo kwenye vita ya ubunge?
Unakwama wapi mjasiriamali mwenzetu?
"Ukitaka kujua balaa la TRA angalia orodha ya wafanyabiashara walivyofunga biashara, wakandarasi walivyofunga na biashara zikifungwa ajira nyingi zinapotea" Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Chadema.
#MkutanoMkuuChadema2020@VitusNkuna@ProsperMasau@NissarRemmy
Mwambieni Msajili wa Vyama vya Siasa akasome Sheria ya Nembo za Taifa ya 1971 ili ajiridhishe kama Wimbo wa Taifa ni mojawapo ya Nembo za Taifa zinazolindwa kisheria kabla hajatoa vitisho vya bure kama hivi. Ataje Sheria iliyovunjwa, kama ipo, kabla hajatoa kauli za aina hii.
Kesho inaweza kuwa siku ya furaha au huzuni kwa Watetezi wa haki za binadamu na watz wote! Mahkam ya Rufaa inaenda kutoa maamuzi iwapo makosa yote yawe na dhamana au hayo mengine yaendelee kuwa hayana dhamana! @JamiiForums@MpokiMpale@MariaSTsehai@fatma_karume@mbuga_jonathan
Mimi nimelalamika kuhusu jengo langu KUPIGWA BOMU. Nimeenda mpaka kwa DCI pale HQ Wizara ya Ndani. @tanpol mpaka hii leo hamjanipa majibu yeyote. Bado mnataka nikae KIMYA? Ili iweje? Nitalalamika tu kwamba hamjanipatia MAJIBU yeyote wala hamjamkamata mtu. Tusitishane kabisa!
@Davies_100@MariaSTsehai Unatokea msibani,tena msiba wa taifa zima,nchi bado INA majonzi,alafu njiani unaanza kuzungumza pumba za kibaguzi km hizo tena kiongoz mkubwa hivyo tukueleweje sasa?
Hutufai ata udiwani kweeeendraaaaa