Roho yangu inaumia pale ninapowaza kuwa wanangu watazaliwa kipindi ambacho baba yao bado niko utumwani,alafu utumwa wa mtawala ambaye inawezekana kabisa hajanizidi uwezo wa kufikiri,๐
moja kati ya maamuzi bora niliyowahi kuyafanya ni kujiunga na Twitter,,,
Kule kumenipa washikaji ambao tunasaidiana kama ndugu japo hatujawah kuonana ๐ซกโ๐ป
Kuna hatua huwa tunakanyaga maishan bila kujua zitazalisha nini, zitatupeleka wapi au zitaturudisha wapi, ila iwe ni kwa makosa au neema tunabaki tu kumshukuru Mungu kwa matokeo yoyote yaleโ๐ป