If you want to see change,start with yourself.
Get better,do better. A positive mindset will get you far. stay focused on your purpose
#Chelsea&Simbasportsfans
Apewe ulinzi huyu jamaa. Kaongea ukweli wa 100%.
Yani sasa hivi mwana CCM yoyote akiongea lugha ya Watanganyika basi anashughuliwa ila wale wanaoongea lugha ya wauwaji wa October 29 ndio wanafaa huko CCM.
CCM imekwisha na Watanganyika hatuna time nayo. Tunachotaka ni katiba mpya, tume huru ya yauchaguzi ili tuagane nao Once and for all. Watatushikilia na bunduki mpaka lini? Hawana akili? Wanadhani Bunduki ndio zitawalinda dhidi ya wananchi milioni 70 wanaodai haki??
MANENO MAZITO SANA HAYA Mhhh!!!
"Mimi nitakuwa Mtu wa kwanza kwa nafsi yangu mwenyewe.... nitasema sisiemu ikataliwe kwenye uchaguzi Mkuu"
"Mimi namuomba Mungu nikiwa Mzee nisiwe kama wao"
"Tulifanya Mchezo na Mchakato wa Katiba"
"Katiba inayopendekezwa Haifai"
Maneno yanayoishi kwenye Mitandao ya kijamii milele ata milele mpaka mitandao itakapokufa......
📍Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia ✊🏽🇹🇿
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu 💪🏽
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka