@zittokabwe Mngeungana msusie uchaguzi vyama vyote naamini hata cm wangesusa pia ila wanajua wana divide vyama ili wakikataa hawa wale wateule wao hawataunga mkono
@MussaNjite5172@mangekimambi hata hujui kilichoharibu libya ni nini....Mtu unaongoza bila misingi ya kuandaa wenzako kuja kuwa viongozi unadhani watakupenda? Miaka zaidi ya 40 hua chili wengine ili uwashauri.......ukiwa kama mzazi usipotoa nafasi watoto kushiriki kuzalisha mal ukifa watazila tu.
@aimsamwel@nulphin@SuluhuSamia@ikulumawasliano Acha waongee aliyechafuliwa akimbilie mahakamani...kwanini unataka watu wakae kmya? Tetesi tu inatosha kuanzishwa uchunguzi dhidi ya tuhuma hizo