@swahilitimes Inaanza mipango miji kwanza, kisha mazingira. Ni ngumu kuwa na miji msafi ambao haujapangwa. Magari ya taka kuna sehemu hayawezi kufika kwasababu ya hujufikiki
@Mwamba_hi Kwani uki substitute neno Samia ukaweka "serikali" kuna shida?
Ku impersonate kila kitu kwa Rais kuna sababisha impersonation ya kila baya kwa Rais. Ifiki pahala lipumsisheni jina la Samia. You're collapsing the meaning of governance. Watu siku hizi hawaioni serikali bali Samia
@NkumbiJoram Simaanishi kuwa unatunga maneno. La! Ni kwamba hii misamiati ni sawa kuijua lakini lugha inaundwa kwa mkundi ya maneno. Mfano, watu tunajui maneno mengi sana ya English lakini linapokuja suala la kuongea tunaongea kw neno moja moja, hvyo kuonekana hatuko fluent. Same kwa kiswahil
@LifeofSteph_1 A "pass" during exam is the GATE for competence. Unampeleka mtoto shule ya serikali anaenda kula div 4 au 0. Utakuja mshawishi nan eti ulimpeleka kwa ajili ya competence?
Shule za serikali za vipaji zinafundisha mithiri ya private. Na private siku hizi zinachukua watoto vipaji tu
@TheChanzo Kijana mdogo but hajajifunza namna ya kuongea kisiasa. He thinks he's absolutely and relatively right. Kuna siku moja akija kusikiliza hii video yake, atagundua alikuwa hayuko sahihi.
@Eric__Bernard Kabudi anakitu kinaitwa impostor syndrome. Hajiamini japo ni Prof.
Hii huwa inatukumba wasomi wengi. The more unavyosoma, the more unagundua hujui vitu vingi hivyo kuwa muoga. Kuongea kwako kunakuwa kwa tahadhari. Tofauti na aliyesoma kidogo -anajiamini maana hajui kama hajui.
@jamiivoice Nyie waandishi nyie.
Hivi katibu anaweza fanya maamuzi bila maelekezo ya mw/kiti wake?
Kama sasa hivi makamo, ambaye ki msingi, na kimuundo ni Rais wa Tanganyika kw sasa anaweza kudharaulika. Je katibu wa chama tu chama? Si wangelikuwa washamfukuza kipindi hicho cha mchakato