Mwanasiasa Peter Simon Msigwa amehoji msimamo wa Serikali kuhusu matumizi ya mashtaka ya ugaidi, akihoji iwapo madai ya uwepo wa tishio la ugaidi nchini yanapaswa pia kuzingatiwa na taasisi za kimataifa zinazosimamia Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027.
"Kama kweli Tanzania ina tatizo la ugaidi, je, FIFA na CAF hawapaswi kujulishwa kuhusu mazingira hayo kabla ya mashindano makubwa ya AFCON? " amehoji Mch. Peter Simon Msigwa.
Msigwa ametoa kauli hiyo leo, Jumapili Julai 26, 2026, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X.
Katika ujumbe wake, amesema kwa kipindi cha hivi karibuni serikali imekuwa ikiwafungulia baadhi ya watu, wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu, wanasiasa na wasomi, mashtaka ya ugaidi.
Kwa mujibu wa Msigwa, ikiwa serikali inaamini kuwa kuna tishio halisi la ugaidi nchini, basi taasisi zinazosimamia mashindano hayo zinapaswa kufahamishwa ili zijiridhishe kuhusu usalama wa wachezaji, viongozi, waamuzi, waandishi wa habari na mashabiki kutoka mataifa mbalimbali watakaoshiriki AFCON.
Amesema AFCON si tukio la kawaida, hivyo masuala ya usalama yanapaswa kupewa uzito unaostahili na taarifa zozote zinazohusu vitisho vya ugaidi zinapaswa kushughulikiwa kwa uwazi.
Msigwa pia amesema iwapo hakuna tishio halisi la ugaidi, basi serikali inapaswa kuacha kutumia mashtaka ya ugaidi dhidi ya wakosoaji wa kisiasa, wanafunzi au wasomi bila ushahidi wa kutosha.
Amesema sheria za ugaidi zinapaswa kutumika kulinda usalama wa taifa dhidi ya vitisho vya kweli na si kuwa sehemu ya mabishano ya kisiasa.
Aidha, Msigwa amesema lengo la hoja yake si kupinga kufanyika kwa AFCON wala kuitakia mabaya Tanzania, bali kuhoji kile alichodai kuwa ni kutokuwapo kwa uwiano katika msimamo wa serikali kuhusu madai ya uwepo wa ugaidi na taswira ya usalama wa nchi mbele ya jumuiya ya kimataifa.
"Serikali ichague moja: ama ithibitishe kwamba kuna tishio halisi la ugaidi na ikubali kwamba wadau wa kimataifa wana haki ya kulijua, au ikome kutumia mashtaka ya ugaidi kama silaha dhidi ya wapinzani na wakosoaji wake." amesema Msigwa.
Mhe Makamu wa Rais umeongea ukweli kuwa Watz tunapaswa kujenga taifa ambalo watu wanaishi bila uadui. Wananchi tunawashauri watawala muanzishe mchakato wa kuandika Katiba Bora mwaka huu 2026 maana ndiyo italeta amani na utulivu wa kweli kwa watu wote.
Haya ndio MATOKEO ya kuwa na MTAWALA Mpumbavu.
Image ya nchi imeharibika sana...lakini hawajali chochote tena.
UGAIDI Wanadhani ndio kesi inayowalinda kumbe iaichafua nchi.
It's a shame that @TheCitizenTz has descended from being a respected newspaper into what increasingly resembles a gutter press, abandoning credible, newsworthy journalism. It now appears to function as a mouthpiece for @SuluhuSamia's regime rather than an independent news outlet. We trace this decline to Rostam Aziz's acquisition of @NationMediaGrp's operations in Tanzania. #mediafreedom #responsiblemedia @stopmediacencorship
@MariaSTsehai
Nikiendelea kushangaa ccm wote wawe wapumbavu na woga hata asitokee mmoja mwenye macho ya kuona, kusikia na hofu ya Mungu! Though it too late kusafishika na kunusuru chama chake !
Muonekano huu ni wangu.Hadhi hii ni yangu. Ndoto hii ni yangu.
Ulemavu wa viungo hauwezi kuzuia kile Mungu alichopanga kwa ajili yangu. Mimi ni mfalme, ni kiongozi, ni baraka. Watu wanaweza kuangalia nje, lakini Mungu anaangalia moyo wako wa jasiri unaosema "ningekuwa natembea
Kuna watu ni WAPUMBAVU sana wakiwa kwenye MADARAKA. Huyu Rioba Chapombe ni Taka ngumu🚮
Kwani BBC, CNN, NTV waliripoti nini Oktoba 2025 ?
Yale Mauaji mnaona mlivyokaa kimya ndio mlikuwa mnalinda SAMIA na SERIKALI yake ? Shenzi kabisa.
@Jambotv_ Mnatengeneza kesi mbaya kuhalalisha kuwashikilia muda mrefu kabla ya kuwapeleka mahakamani. Wengi wameshikiliws siku 20 kabla ya kukubali kuwa mko nao. Walipienda mahakamani mkabadilisha charge ili kuhalalisha kuendelea kuwashikilia. Huu ni uhuni wa kitoto. Acheni ushenzi wenu
Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima,
Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika.
Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka.
Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
#freetundulissunow