@airtel_tanzania nimenunuwa umeme alfajiri leo via simbanking na namba ya airtel 0783903300 sijapata token wala hela kurudi Msaada. Call centre yenu napiga cm maelezo weeeh yakiisha maelezo cm inakatika ila nyie Hovyoo Kabisa
@mangekimambi Unataka tukutukane na tumefunga... haya Mambo ya Dini huyawez tulia. Khamenei ni Shahidi. Wao kuwapa Bases America wawaue Waislma wa Iran unaona sawa, Makafiri mtakutana na adhabu kali ya Allah, na Uislam Utaongoza Dunia. Islam will dominate the World.
Huyu Mwalimu hasira ya kulipwa Mshahara wa laki tatu kwa mwezi anamalizia kwa watoto wetu na hawa Waalimu ndio wanalipwaga 20K kuiba Uchaguzi, Tafadhali tusaidiane kupata taarifa zake pamoja na hao wanaoshangilia.
My goals as a Muslim for 2026:
- Memorize the Quran
- Build 3x Halal businesses
- Never miss a single prayer no matter what
- Never miss a single Fajr prayer in Mosque
- Never miss a single Isha prayer in Mosque
- Donate 40% of my income
- Complete Hajj
Mazishi ya kiislamu.
The best thing ever ambayo inayoonyesha kuwa mali na pesa ni vitu vya kupita.
Hapa wenzetu walitupiga K.O sisi wakristo upande wa mazishi complications nyingi sana laiti tungekuwa tunazika kama alivozikwa Yesu ingekuwa jambo jema.
Huku Msiba una MC๐๐
@Roma_Mkatoliki@thisistemidayo Tunge implement hii kungekuwa hakuna wezi wala Wazinifu, angalia Dunia ingekuwa salama Kabisa. Ipe Mauwa yake Uislam. Bible haisemi the same thing kwa mambo hayo 2?
@MrPLekey@BillyTronix1 Nikupe Reference ya Kitabu gani? Prophet Adam has been mentioned in The Quran in several Verses, among them Verses from 30 to 38 of Surah Al-Baqarah (2nd Surah of Quran) and verses from 11 to 25 of Surah Al-A'raaf (7th Surah of Quran).
@MrPLekey@AlbertoMlawa@BillyTronix1 Mussa. Adam. Nuhu, Daudi walikuwa dini gani na uweke Ushahidi. Umesoma wap kuwa uislam umeanzishwa na Muhammad ili nasi Tusome?