Eewe MWENYEZI MUNGU nakuomba usifilisi uwezo wangu wa kufikiri, nisiwe mwenye kiburi, nisiwe mwenye kudharau watu, hoja zao, mahangaiko yao, nisewe mwenye kejeli wala dharau ktk mgongo wa Ardhi, nakuomba uniepushe na kutumika kwa niaba ya watu ili kukejeli watu wengine. Yaarab π€²πΎ
@Elsukay0@davidnditihrmp Kwahiyo mechi ya Simba Sc na Yanga SC ni Champions League? Ila mnajifyatua akili sana wanamsimbazi. Ngoja tusubiri tarehe 10 mtakuja na Agenda ipi?
@Simbascot@RevocatusMagum1 Fresh tu Sisi tutalipa uzuri Furaha tunapata na madeni tunalipa na chenji zinabaki, si umesikia taarifa za mapato na Matumizi mkuu? Ila upande ule bado Pesa ziko Benki alafu madeni wanayo mfukoni.