Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.
Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.
Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.
Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.
Asanteni Sana.
@rayasel94@OleMtetezi Ni vile jamaa ana ona hawa jamaa bado yaani sgr kwao ni big deal sometimes bora ukae kimya kuliko kuongea ongea unaongea utumbo then kuna siku tutakuja jua kuwa ni bei gani kapewa ili aje
@Vitu_originaltu@MaxTz255_ Madaktari wasenge sanaa sijui hizi Sera na miiko miyeyusho mno mtu kutumia arv alafu unamficha mume au mke kwann wasiwe wanasema mnaweza kufanya mapenz ila amna atakae Pata kuweni waangalifu na vitu kama ivyoo wao wanaficha