Ukosefu wa uwazi na ushirikishwaji katika maamuzi ya fedha za umma.
Imekua kawaida baadhi ya viongozi kujilinda kwa kivuli cha "usalama wa taifa" hata kwenye ufisadi.
Wananchi wanahisi kutokuaminika kwa taasisi za kushughulikia malalamiko ya rushwa.
Ni dalili ya kuanguka kwa imani ya wananchi kwa mifumo rasmi ya uwajibikaji. Hili ni lakuangalia zaidi