@MANPAC24@TMnyama4_@ladyVee_Ve Hatulaumu na sio kwamba hate appreciate wai kutuelea Ila kuma kipind cha kujitafuta
25yrs to 30 yrs mshahara wenye chini ya 500k Afu mtu anaenda anakopa akitegemea back up yako uko town hapa kila kitu mahesabu na si Mara moja n swala la kujiridia time after time unatoboaje??
@MANPAC24@TMnyama4_@ladyVee_Ve Aweee T bhado hujakutana na situation kama hyo thatโs why unaongea hvo hv unajua kujinyima una plan zako kwa hela ndogo afu kila mwaka is naishia kutuma madani kwa wazazi sometimes inarudisha nyuma sana
@julip202 Aiseee bro unashida kama yangu ila Kuna muda na feel maumivu ila nmefatilia nmegundua operation watu wanafanyiwa na inarud tena aisee ngoja nikaze kwa mwamposaa sifanyii io operation wallah๐คฃ