@PolycarpMDM@goeroben Kwako itakua haina maana ila kwa wengine huenda ikawa na maana and then unayoina wewe pia kwa wengine ikawa haina maana. Life ndio ipo hivyo.
@ShijaDenis Mtumiaji na mjuzi wa simu haswa hawezi kuwa na iphone pekee lazima awe na Android kwasababu hiyo iphone kuna mambo hatoweza kufanya/kupata. Ila wewe kama kupiga, kupokea, sms, internet na social media na kupiga picha tu hauwezi kuelewa.