Waziri Mlezi Mkoa wa Lindi ni Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano Deusi Sangu
Waziri Mlezi Mkoa wa Ruvuma ni Waziri wa Uchukuzi Prof. Mbarawa
Waziri Mlezi Mkoa wa Mtwara ni Waziri wa Viwanda na Biashara
Una swali lingine?
@Mkanaani_ Yes na tunaweza sasa kuziweka makundi mawili kuna amri ambazo alizi direct kwa nature (asili) alipokuwa akiumba halafu kuna amri alizi direct kwa watu (Amri 10) baada ya kuwaumba na kuanza kuzaliana
@chapo255@PresenterNoah Nina uhakika hata kama ni hamu na utelezi ukichungulia akili itahama kukutoa kwenye hizo kiu za utelezi sasa sijui mwamba alikuwa akitaka nini