@Lumola_Steven Kaka Nakufuatilia sana ukiwa unajaribu kuelezea hii movie ya Mpina
Sijakuziea hivyo lakin pia nakuelewa
Mimi ntaish na Statement yako ya kuwa Mpina ni karata sahihi Kwa AcT acha tujenge chama kaka π€£
Operesheni Maji Maji
Leo Julai 2, 2025 Msafara wa KC Mstaafu utafanya mkutano wa hadhara katika Jimbo la Tabora Mjini.
Oktoba #LindaKura#MuhuniHasusiwi@ACTwazalendo
@edwinbaraza5@zittokabwe@ACTwazalendo Mlianza lin mchakato wa hiyo kampen yenu
Tatzo n mipangilio ya lin mnafanyia Kwan mlishinddwa kuanzisha wakat wa serikali za mitaa Ili upatikane muda wa kufanya reform na hii haimaanishi kwamba sisi au nyie mko sahihi sana ila Kila upande waheshimu hatua za wengine
@Salamaenrich@zittokabwe@ACTwazalendo Hao mliowalea miaka yote wamewageuka tunajuaje la n mpango wenu wa kuua vyama vyote vitavyoungana na nyie kama mlivyofanya nyakat za UKAWa
@edwinbaraza5@zittokabwe@ACTwazalendo Hizo reform unazifanyia chumban kwako tattazo n unyumbu mlio nao kudhan mko sahihi Kila kitu mmeshindwa kujua hata mtazuiaje uchaguz mnaendaje kufanya reform