Karibu Asilimia 30 ya wasanii wa bongoflavor wanao hit sasa hivi wamepitia @BongoStarSearch kati yao wengi wameishia hatua za Awali #BSS inatakua na mchango mkubwa katika Muziki wa Afrika siku zijazo β¦
@Ezb_classic Apo kama amegraduate sheria kuna law school inamsubiri kama ni uhasibu kuna CPA kama ni medicine kuna license kiufupi ni kama ndo kwanza anaanza