Mungu awabariki na kuwalinda sana watu wote ambao hadi sasa mnafanya kazi ya kuhubiri haki, utawala bora wa sheria, uhuru na mabadiliko ya kweli. Hakika, ninyi ni washindi. Hamjaogopa vitisho na unyama wa hawa wahuni. Mungu wetu ana nguvu sana. Tupo pazuri. Msiogope. Tutashinda.
Kama unaumia na kinachoendelea Tanzania, Kama unaumia na utekaji, uuawaji na upigwaji wa wananchi, Kama unaumia na udhulumat unaofanywa na CCM . Kama unataka mabadiliko, tafafhali sasa hivi, dakika hii tuma pesa kuchangia tone tone. Ruzuku ya Chadema imefutwa kinyemelewa, CCM wanahakikisha wapinzani hawana pesa ili washindwe kufanywa chochote na iwe rahisi kuwanunua. Lazma wananchi muwatumie pesa la sivyo watashindwa kuwapambania.
BORA USILIPIE APP YANGU ILA TUMA PESA CHADEMA. Kama una buku 2 tu to spare naomba usilipie Umbea wangu instead peleka hiyo pesa kwenye ukombozi wa nchi, watumie Chadema hiyo pesa. Mimi dada yenu kupitia mapato ya App nilichangia milioni 3 miezi michache iliyopita na leo nawatumia milioni 3 zingine.
Tigo- Mixx by yas
1. *150*01#
2. Lipa Bill No.4
3. Weka namba ya Kampuni 213050
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi cha fedha - kuanzia 1000
6. Ingiza neno la siri
Vodacom
1. *150*00#
2. Lipa kwa M Pesa No.4
3. Ingiza namba ya Kampuni 111333
4. Ingiza kumbukumbu namba 1234
5. Weka kiasi
6. Ingiza Pin
Mpesa
1. Bonyeza *150*00#
2. Lipa kwa M pesa No. 4
3. Ingia malipo ya kujirudia No. 09
4. Weka malipo ya kujirudia No. 1
5. Weka namba ya kampuni No. 3
6. Namba ya kampuni 111333
7. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo 1234.
8. Weka kiasi
9. Weka jina la malipo CHADEMA
10. Marudio kila siku, wiki au mwezi
11. Weka tarehe ya kwanza ya malipo 2802025
12. Weka tarehe ya mwisho ya malipo 28022026
13. Weka namba ya siri
14. Bonyeza 1 kuthibitisha
DIASPORA
NAMBA: 0744 446 969
JINA: CHADEMA HQ
MTANDAO: VODACOM
BANK
NMB
JINA: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO
NAMBA: 22606600140
SWIFT code: NMIBTZTZXXX
Star tv imekata matangazo ya BBC Swahili ili taarifa ya watekaji isisikike?
Nini maana ya vyombo vya habari kwenye Nchi hii?
Yaani wao hawawezi hata kusemea umma wala kutangaza uovu huu..
Chombo cha nje kimefanya, wao hata kutangaza hawawezi, wanakata!!
What a shame!!! Watanzania wako peke yao. Ila tutashinda.
#IamTunduLissu is a gesture of solidarity.
To ensure Lissu’s voice isn't silenced.
And that the call for electoral justice is a shared aspiration.
We’ll gather here today at 12 noon.
To protest chanting #IamTunduLissu.
Please be there.
Are you Tundu Lissu?
Yaani kuna mambo ya kushangaza sana duniani.
Wanaiba mpaka uniform za polisi.
Polisi wanateseka na maisha mabaya magumu.
Alafu wanatumia polisi kutupiga sisi na kuwalinda wao wanaowatesa!!!!
Nimekua najiuliza inakuaje watu wanaua watu kama vile unaua sisimizi bila huruma, uchungu wala aibu.
Kama wanafanya attempt za kuuana wao kwa wao, itakuaje sisi wengine.
Uchu wa madaraka na kiu ya wizi wa mali za umma ni mkubwa mno kwa hawa watu..
Hawa ni zaidi ya wanyama.
Lazima watoke.
Leo nimefika Ikulu ya Chamwino kuwasilisha majumuisho ya wadau mbalimbali, ambapo tulipata nafasi adhimu ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuwasikisha kwa Mukhtasari kuhusu masuala makuu ya kitaifa yanayohusu:
1. Utawala Bora na Demokrasia – tukisisitiza umuhimu wa kuweka mifumo thabiti inayohakikisha heshima ya utawala wa sheria, uwajibikaji na uwazi.
2. Haki za Ushiriki katika Chaguzi tukieleza haja ya kuwa na uchaguzi unaozingatia haki za wananchi, ushiriki huru wa wagombea, na kuondoa vikwazo vya kiufundi vinavyoweza kunyima wananchi na wagombea haki ya kidemokrasia.
3. Changamoto za Utekaji na Kutoweka kwa Watu (Enforced Disappearances) tukimueleza Mheshimiwa Rais juu ya umuhimu wa kulinda haki za msingi za raia kwa kuzuia vitendo hivi visivyo vya kisheria.
4. Maboresho ya Mfumo wa Uchaguzi tukihimiza mageuzi yatakayowezesha chaguzi zilizo huru, haki na shirikishi, ili wananchi wapate viongozi wanaowataka kupitia sanduku la kura bila hila wala vizuizi visivyo halali na kuondoa changamoti ya kukata wagombea au kuzuia Mawakala.
5. Suala la Mh.Tundu Lissu tuliliwasilisha kwake na linaendelea kuangaliwa na kufanyiwa kazi kwa utaratibu mwingine lakini bila kuingilia kinachoendelea Mahakamani
Mheshimiwa Rais alitusikiliza kwa makini na akatoa ahadi ya kuangalia kwa karibu mapendekezo yaliyotolewa, ili kuona namna bora ya kuyatekeleza kadri muda na mazingira yanavyoruhusu.
Aidha, kwa kuwa mapendekezo hayo yamegawanyika katika ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu, Mheshimiwa Rais ameahidi kuyapitia kwa ukamilifu na kuchukua hatua stahiki kwa yale yatakayowezekana, ili kuhakikisha Taifa linaingia kwenye uchaguzi ulio bora zaidi, wenye heshima, uhuru na haki kwa Watanzania wote.
BAK MWABUKUSI.
1/2
TAARIFA:
Sitoweza kuendelea na mchakato wa Uchaguzi au kushiriki kwa vyovyote vile uchaguzi Mkuu huu wa 2025.
Nimeshatoa taarifa kwa Chama kuwa kitafute mtu wa kugombea Jimbo la Iringa Mjini as long as sijachukuwa FOMU ya Serikali na muda bado upo.
POLEPOLE ni silaha ya adui iliyotumika kutuumiza wakati wa UTAWALA wa awamu ya tano na sasa SILAHA hiyo kali ya sumu ipo katika mikono yetu kutokea ndani kwa ADUI, ikiwa imejaa SUMU za kutosha; sasa tunaitumia kujibu mashambulizi ya adui ipasavyo. RISASI zake zikiisha tutaitupa.
Mahakamani pamechafuka sana Leo.. 😆
TAL ameambiwa ataje mashahidi wake kama anao. TAL amemtaja SSH, Mpango na Majaliwa katika orodha ya mashahidi wake. Hakimu Franco Kiswaga akasema hao mashahidi ataomba kibali Mahakama Kuu waingie kwa kuwa hawezi kuwaingiza katika commital.