@TCRA_Tz Mimi nina swali kuhusu hawa waganga wanao tuma text kila siku kwa siku mara hata mara3 wakijidai wanakosea namba hakuna sheria yoyote inaoweza kuwabana??maana jaman hizi text zao zimezidi na wanatoa wapi namba za watu maana hii nmesikia kwa watu ninao wajua zaid ya 5