@mduduJnr Eti agombee ubunge,sina chama lakini mtu kama huyo hafai kuwa kiongozi matendo ambayo yanasababisha wtz tunaunguza vichwa na kutafiti ni nani anayefanya yeye anashangilia kwanza ni wasiwasi hiyo elim yako ya sheria wanasheria ni watu makini,umeabisha sekita sheria, uwe mwalimu.
@rollymsouth Mwanasheria mzima hana sifa yakuwa kiongozi eti anagombea ubunge,anafikili wtz ni wajinga kama unadhihaki mtu aliyetekwa,je ukiwa mbunge umejichafua madereka kumbe wewe ni mjinga unatuonaje matendo tunayopinga wewe unayashangilia nani atakupa kura kwa maneno hayo.
@Jambotv_ Madereka nae mchumia tumbo ,chadema acha waondoke mpaka taasisi ibaki safi wanaotafuta pesa na madaraka razima wataonyesha ogopa uchu wa madaraka na ukame wa viongozi.
@chiefodemba@medanizasiasa Wakulima wengi mkoa wa mara wanauza mazo kenya ,tunaomba chawa msiokula kwa jasho msilite uchawa wenu kwenye hili suala ndio hmatokeo ya mtu kula bila jasho.
@CatherineRuge Nlcatheline wewe ni wakwetu yamekushinda kaa kimiya,wakurya tumejua kumbe ulikuwa unatetea tumbo lako na sio wtz sasa kwa wakurya utasema nini,sasa hivi huwezi simama serengeti ukaongea,utaongea huko chauma,wanasema mtu kwao wewe nyumbani utaongea nini?ona heche aliyopokelewa.
@Liberatus80@TunduALissu Kadili mnavyozidi kuwanyanyasa chadema ndivyo wanavozidi kupendwa na watanzania si muache,sasa naona mwanga kura za wtz ndio zitaamua muliozoea uchawa kula ni kwa uchawa jiandae kutafuta kwa jasho sasa hivi hakuna uchawa kula ndio itaamua.
@TanzaniaLeaks Mnafikili mnalinda nchi kumbe mnachafua nchi kwa mtindo huu watalii hawatakuja nchini kumbuka dunia imeshakuwa kijjiji na imeshasambaa ,nawMbia wasomi wanchi hii wanavuruga nchi.
@AbdallahWa71636@1Maliga Wanaotekwa na kuuwa ni wanaokosoa au ni wanao kosolewa,acha ujinga usifikili mungu nidhalinm wtz ametupa akili no reform no election ,tutawambia wazazi wetu hata kwalugha za kienyeji,kuteka na kuuwa ni jambo baya linaleta laana kwenye nchi mazao yatogoma kustawi kwa sababu ya dam
@Aduiwayanga Wewe mwenyewe ni chawa hakuna anayekujua,hauli kwa jasho lako unakula kwa udhalimu wa wizi wa kodi za wtz,ndio madhala ya kutegemea uchawa unakuwa mbumbu kila kitu ndiyo,wewe ujilinganishe na dada yangu matha karua toa hapa ujinga wako.
@JamiiForums Wachumia matumbo na watafuta vyeo nicheke kama mazuri,sasa ruge unauhakika ukigombea ubunge utapata,tumeshakudharau watu wa mara hutuko hivyo.