“Jamaa ni Profesa? Wapi bwana. Tulisoma naye. Shule alipata three.”
“Mchungaji? Kweli watu wana utani na Mungu. Tuulize sisi tuliocheza nae.”
“Jamaa kawa waziri? Kabebwa hakuna kitu pale. Shuleni alizungusha.”
“Unamwamini huyu jamaa? Mwaka juzi alimtapeli jana yangu.”
“Kaolewa? Namjua. Shuleni alifukuzwa kwa kupata mimba.”
Tunawazuia [sana] watu kubadilika.
Hatuamini mtu anaweza kukutana na mazingira yakamlazimisha kuwa mtu mwingine. Hatumruhusu mtu tunayemjua kuhariri kitabu cha maisha yake. Hatumpi amani ya kuusahau unyonge wake bila usumbufu wa kukumbushwa asiyopenda kuyakumbuka. Tunang’ang’ania historia mbaya tunazozijua kuhusu watu. Tunawanyanyasa na kuwasengenya watu, saa nyingine, kwa kurasa za maisha zilizochochea badiliko tusilojijua. Hata afanye nini bado tunamkumbusha mtu kurasa asizopenda kuzisoma kwa sauti.
Usiamini unawajua sana watu.
Nyakati hupita. Nyakati hubadilika.
Watu hukutana na mengi.
Watu hukua. Watu hujifunza kwa makosa yao.
Watu hufikishwa mahala pa kubadilika.
Hata wasipokuletea taarifa.
Hata wasipojitetea kwako.
Watu huweza kuandika upya kurasa za maisha yao. Kila unapokutana na mtu unayemfahamu usiamini unamjua sana. Muda na matukio hubadisha watu.
Usisubiri mtu asiyependa historia yake mbaya akuondoe kwenye maisha yake. Usisubiri mtu ‘anayehariri kitabu cha maisha yake’ atafute amani kwa kujitenga na wewe. Usisubiri mtu aache kazi ofisini kwako kama mkakati wa kujipa nafasi nyingine ya kurekebisha makosa aliyoyafanya akiwa hapo. Tuwape watu nafasi ya kubadilika kwa sababu ni kweli watu hubadilika na hawatoi taarifa.
We are excited to join fellow world leaders, private sector innovators, development partners, researchers, young people and community leaders in Kigali as we come together to share ideas, build partnerships and explore practical ways to strengthen Africa’s food systems.
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika.
Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia.
Andaieni mawazo yenu — muda umefika!
#Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
Jarida maarufu la The Hill la Washington DC limeninukuu kwenye makala yangu iliyochapishwa na DEVEX Global . The Hill wamechapa makala yenye kichwa cha Habari “Trump’s aid cuts and tariffs call for an ‘Africa First’ response “. https://t.co/KEgzkrhj2X
"Kazi ya msingi ya CSOs ni kuwa watchdogs kwa ajili ya maendeleo ya jamii nzima kwa ujumla.
We have long relied on donor support to carry out our work. But with shifts and shrinking funding, which has been our backbone, the future is clearly uncertain." - @NuriMshare, speaking on future scenarios for civil society.
#CSOWEEK2025
#ChangeNiSisi
📍I am honoured to receive an Award for the Outstanding Legal Scholar on Gender Equality.
✅ The award was presented to me by Hon. Dr. Doto Biteko, Deputy Prime Minister of Tanzania, and conferred by the Tanzania Lawyers Association (TAWLA) @TawlaTZ during the commemoration of its 35th Anniversary.
✅ The award is bestowed to a legal scholar who has produced influential research, publications and educational materials related to gender equality, human dignity and access to justice.
✅ This recognition is not solely personal. It affirms the importance of legal scholarship that is grounded in justice, informed by evidence, and responsive to the lived experiences of women and other historically underrepresented groups.
✅It strengthens my resolve to continue using law not only as a lens for reflection, but as a tool for the meaningful transformation of gender relations within institutions and society.
✅ I share this honour with every woman, every girl, and every community, organisation, and network working tirelessly for visibility, voice, and equitable representation. I remain committed to building a future where law and practice create opportunities for all individuals—regardless of gender, background, or ability—to participate in and lead decision-making spaces at every level.
✅ Happy Birthday @TawlaTZ and thank you for the encouragement.
✅ The award is both humbling and inspiring.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
TAMWA ZNZ, ZAFELA, JUWAUZA na PEGAO wanahimiza wanawake kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi ndani ya vyama vyao.
#mwanamkenikiongozi
The Scripture says, “You will know them by their fruit.” It doesn’t say you will know them by their words. People can say one thing. Their actions, how they treat you, what they do is who they are. Tune into Joel’s message today! "Fake Friends": https://t.co/fzO8ZeVnAZ
📣 Announcing the 2025 CSO Week set to take place from 2nd to 6th June, 2025 in Arusha, Tanzania.
#CSOWeek is BACK! Due to the upcoming elections, we are hosting it in June instead of our usual months of September/October. This is the primary platform we use to address the most salient issues affecting the civil society sector through co-created sessions that will result in policy, practice, and knowledge solutions to support the delivery of development in our country.
As it is our custom, we will be working with our partners in the civil society sector and the private sector to co-create impactful sessions under the theme #PathwaysToProgress. To mention a few: @humanrightstz , @LSFTanzania, @Twaweza_NiSisi, @HakiRasilimali, @HakiElimu, @scitanzania, @UNATanzania, @THRDCOALITION, @tgnptz, @SautiyaVijana, @TAMWA_@tanzania_bora, @vodacomtzfound, @UBONGOtz@StanbicBankTZ.
We look forward to this.
Applications are now open for Tanzania International Model United Nations (TIMUN) 2025!
Don’t miss the opportunity of being part of the change , the progress and the bigger picture of this transformative global experience
Apply now!
https://t.co/W8unP5WrdA
@YUNA_Tanzania #TIMUN2025 #yunatz #Dodoma