Wakati unaumiza kichwa kuhusu kodi ya nyumba kuna mtu kodi adaiwi ila ndoa inampelekesha๐mda unawaza ada za watoto, kuna mtu pesa anayo ila hana watoto ๐usijaribu kujiona wewe ndio unapitia maumivu kuliko wengine huenda yakawa ya mda wengine wana maumivu ya maisha yao yote๐
@Ngowi_Inc@Neypaul01 Kuna tofauti ya mitume (disciples ). Na kuna wafuasi ( followers of jesus) sawa mkuu bitumen walikuwa 12 tu wanaume. Ila wafuasi wqlikuwa toooop
KUTOKA UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA, MADADA POA NA UJAMBAZI MPAKA KUWA SHUJAA NA TUNU YA ULIMWENGU.
Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska.
Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia alikuwa msaada mkubwa..
.
.