@MabalaMakengeza Niko natafiti kuhusu Shule za Kata ambapo kwa literature review tu niliyofanya hata Kiswahili ni mtihani.
Tafiti hii ya kuangalia shule za kata naifanya kutokana na msukumo wa kuangalia access to education vs quality of education ili nije na mapendekezo ya kuboresha quality.
@Frank_Bepari@mreno255 Hebu twende kihesabati, mtu akae awaze formula ya "difference of same squares"? Na formula akupe (a²-b²)? Haya hadi hapo apply logic uone kama ili-intend same squares or two squires?
@TheChanzo Bank statement inaweza kuwa replaced na LIPA Namba history.
Lazima tujue ukweli kuwa wengi wetu hawako kwenye mifumo hiyo ya kifedha. This has been my recommendation daima ili kuongeza financial inclusivity
Kwa kuwa hili ni wazo nililotafiti, niko tayari kushirikiana na serikali kuhakikisha linatekelezwa kwa mafanikio.
@MsigwaGerson . Sidai kwamba mimi ni chanzo pekee cha wazo bali naonesha nimetafiti na kuandika kuhusu hili. 🇹🇿 @SuluhuSamia
🧵 Bajeti ya Tanzania ya 2026/27 (aya ya 63) ina wazo nililo tafiti na kuandika kwa muda mrefu. Utekelezaji ni ambao nimewasilisha ukamilifu wake ktk shindano la @TRATanzania .
Kutangaza mfumo . ni hatua ya kwanza. Changamoto kubwa iko kwenye utekelezaji.
Kwa kuwa hili ni eneo langu la kitaalamu, nawataarifu @TRATanzania na @mofURT "framework" ya utekelezaji nimeuwasilisha kwenye shindano(Kindly check the pdf niliyoiweka).
Naendelea na bajeti ktk lugha. Aya ya 27 inayozungumzia upandaji wa mafuta.
Ya kiswahili imeandika "bei ya mafuta na petroli na dizeli zimeongezeka sanjari kwa 44% na 49%"
English version: "increased by 44% and 49% respectively"
NB: Respectively = Mtawalia
Parallel = Sanjari
Nasoma bajeti kuu... kwenye mapitio ya bajeti ya 2025/26 wameandika bunge liliidhinisha trilioni 56.49 ambapo mapato ni trilioni 41.39. Mapitio yanasema kwa kipindi cha Julai 2025 hadi April 2026 ilikusanya 34.75 wameandika hii ni 101.8% ya malengo.
Au mimi sijui hesabu?