@halimamdee Nilipo sema hatuwezi kuikabidhi NCHI mikononi mwa 'HOOLIGANS' hamkunielewa. Sasa angalia wameanza utumbo hata mwezi haujapita😃😃. Kijana shtuka epuka matapeli. Hapa hamna chama. Hawa kina @kigogo2014 ndio wanao haribu hiki chama. Ni vyema Vijana waanze upya kukijenga!!.
@kigogo2014 Natamani niwanunulie Mirinda nyeusi Watanzania woote😂 Maana mmejua kuwanyoosha watu wanao taka kuvuruga Amani. Mnawaenjoy then no response 😂.
Anyway tubaki humuhumu asikudanganye mtu EPUKA MATAPELI, amani ni chaguo la Kwanza.
Kwa wenzangu wapenda amani tu #LIKE hapa.
@kigogo2014 Tulia unyooke Mende wewe, kwa kipindi cha miaka mitano iliyo pita alifanya zaidi ya aliyo ya ahidi sasa unaleta hoja 'mlenda mlenda' Pita hivi. Sikuhizi huna hoja umwkuwa mtu wa umbea tu yaani hii account tunaifatilia kama tunavyo fatilia page za UDAKU basi tu😂.
My congratulations to H.E. John Pombe Magufuli for being sworn-in as President of Tanzania! I look forward to working with him to further strengthen the long-standing friendship between our countries. @MagufuliJP
@JaneRithe@zittokabwe Amevuna alicho kipanda, alijazwa upepo na watu ambao kimsingi wanapigania matumbo yao yeye akajitoa chambo Sasa ameona nini alicho kutafuta. Hata siku nyingine mtu Kama huyu au yeyote aliye shuhudia hawezi kudanganywa na akakubali.
Uchaguzi ulikuwa umeisha, anahangaika na Nini??
@USAmbTanzania 😃😃😃 Whether you attend or not, what matters to Tanzanians is that our beloved President has sworn in. Kwahiyo acha tu mbwembwe ukiona vipi sepa. Kuku wewe.
@kigogo2014 CCM sio nyie mlio sema mkishinda mtafanya sherehe😂. USHINDI NI JADI YETU. Kufurahia ushindi ni ambao tumeuzoea kwetu ni ushamba.
Najua mlijiandaa kula kuku wa kienyeji🤣🤣. Mtaisoma number........
@kigogo2014 Kwani kutokuwa na furaha ni kosa kisheria? maana mnashindwa kuleta sera mnaleta 'ubuyu' kwa wananchi. Na hivi ndivyo myaendelea kuisoma number, sasahiv mpo mnaangalia Kama wanafuraha au la badala ya kujipanga kwaajili ha 2025 mpo tu kwenye umbea😂.
@zittokabwe Ndg yangu ZITTO tulia ufundishwe na Dunia, maana mlipo kuwa mnatokatoka nje ya Bunge tulikuwa tunawachora tu na ndio maana sisi wananchi hatukuwambia lolote wakati ule maana tulijua muda utafika. Sasa umefikia na tumefanya tunavyo taka Sasa nenda mtushtaki kuwa tumewafukuza kazi.
@zittokabwe Hili ndilo watanzania wameanza kuelewa kuwa mnachochea chuki then matatizo yanawapata wao. Angalia Sasa upo una post picha za Vijana ulio wajaza upepo waende barabarani Sasa wapo wanarukishwa kichura wewe upo una tweet 😂.
Humtupati ng'oo!
#Hatuandamani
@kigogo2014 Mtajua hamjui, magaidi tu mnachafua Nchi yetu.watanzania tunafanya kazi zetu na tumechagua imetosha!. Mtaelewa tu labda mtengeneze serikali ya GENGE!.
#Hatuandamani