@IhefuSportsClub Hv kweli hii page yenu inaendeshwa na msomi au mmemuokota tuu mtu mtaani khaa yaani page inapost utumbo tuuu, hebu igeni page za Simba na yanga, nendeni mkajifunze
@singidabigstars Kwanini hamna wanahabari wazuri wa team? Haiwezekan official page ya team kubwa kama hii inaendeshwa kama page ya mtu binafsi, jaribuni kuajiri professionals
ππ₯πππππ‘π π‘ππͺπ¦:
Klabu ya Brighton imeipatia klabu ya Chelsea ridhaa ya kuzungumza na kocha wake Graham Potter kwa ajili ya kuchukua mikoba ya Thomas Tuchel huko darajani.
#KitengeSports