@CloudsMediaLive Elimu ya awali isihesabiwe kwenye mitaala ya shule. Elimu ya msingi iwe 1 hada 8 na sekondari iwe 4 halafu mwanafunzi aende chuo. A level ifutwe inachukua muda tu.
Dah! Katika vitu havistua mitaa siku hizi ni sabasaba ,yaan sabasaba ni kama maduka tu mengine ya kariakoo ya jumla โฆ no promotions,no new products โฆ ๐ ๐ ๐ ,basi muende china mkaige @cantonfair
@Roma_Mkatoliki@Roma_Mkatoliki watoto wanakosa adabu wanasema ulikuwepo kwenye shoo ya treble ya yanga,.. mi nimewaambia hawajui kufananisha wanabisha! SEMA WEWE TUONE