Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mbunge wa Mbarali, Mheshimiwa Francis Mtega kilichotokea leo asubuhi huko Chimala, Mbarali. Mheshimiwa Mtega atakumbukwa kwa jitihada zake katika kuwatumikia wananchi wa Mbarali na miaka yake ya utumishi katika sekta ya afya. Natuma salamu za pole kwa Mheshimiwa Spika @TuliaAckson, Wabunge wote, ndugu, jamaa, marafiki na wananchi wa Mbarali. Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema. Amina.
@lifeofmshaba@Oleshangay Watu kutojuongeza tu BABA lengo lake lilikuwa kuifuta Zanzibar isiwepo kawaanzishia, kumalizia tu Viongozi wameshindwa.. lengo la kuwapa uongozi Wazanzibar lilikuwa la makusudi kabisa tañzania Ili wajue tuko wamoja lakini bado WANAWAPA Nguvu ya Bunge Sijui hili siyo hili ndiyo.
Gharama ambazo tunaotumia hapa Bongo kulipa wachezaji wa kutoka Nchi za NJE tungeweza zitumia hizo hizo kuwapeleka wachezaji wetu wa Tanzania wakajifunza huko nje au tukachukua Coach kutoka nje akaja kuwa coach watu wetu na wakawa wachezaji Bora km wao wa nje kuliko kuwaleta wao.
@ThePunditsFolly Pengine baada ya kuwa umechukua Picha ungerudi Kumchukua maelezo Boda na hata kushiriki Hospital Ili uwe na ushahidi .. Ili huyu akisema thibitisha km aligonga Boda, Nahisi huna hata Mawasiliano naye hujui km alikufa au vp.. mlalamikaji Nani? hapa ww ni shahidi.
@Mwanahalisitz Kibatala anaweza kumuliza mtuhumiwa swali kama ifuatavyo miaka 10 iliyo pita tarehe kama ya leo unakumbuka aina ya chakula ulicho Kula ?
@Charlzkid0 @Mwanahalisitz Yaani wewe mpuuzi hujui kuandika kabisaaaa, KIBATARA, HERA, SHELIA, hapo hakuna hata neno moja lililo sahihi bwege wewe. Basi kwa kushangilia CCM hawa, hawajambo
Unatoa fedha kwa wakala, Sh50,000. Serikali wanachukua Sh818. M-Pesa wanachukua Sh2,700. Jumla makato Sh3,518. Hapa kuna kodi mbili katika bidhaa moja. Anakatwa mteja. Wataalam wa kodi wanaita "double taxation". Tafsiri nyembamba ni UNYANG'ANYI. Serikali ya CCM imechoka kufikiri.
Timu ya YANGA imemkaribisha ofisini Karim Mandonga Mtu Kazi mcheza boxing wao yani Mcheza boxing ambaye ni Shabiki wa Yanga. Sasa tumeelewa kwanini Mandonga anapigwa na ana Maneno mengi.
@earadiofm@Evansbukuku@Clugoe@bobbymongi HATUNA uvumilivu unaongelea Upi labda ... !!!
Maana mpaka Sasa Mafuta yanavyopanda Bei na maisha yanaenda Kasi juu Gharama ngumu BADO tupo kimya hatujachukua Hatua yoyote Ni ishara tosha ya UVUMILIVU ujue au wewe unaongelea Nini hasa!!! ??