@VitusNkuna Kuhamasisha na kutoa updates ni uratibu pia, hatukuona familia ikihamasisha na kutoa updates, viongozi wa chadema ndio walihusika kuhamasisha na kutoa updates. Huyo dogo alitoa hela cash, unajua aligawana na nani?
@AdvMatata Ulitegemea sekretariet ijilalamikie? Uratibu ni nini, hatumuona Mzee Alute akihamasisha wala kutoa updates, hamasa na updates zimetolewa na viongozi wa chama na hamkuwakana tokea awali, sasa wameiba unasema chama hskihusiki?
@IAMartin_ CHAGUZI ZOTE ZA KENYA HUWA NA VURUGU, MAUAJI, NA KKUTOKUBALI MSTOKEO KWA MADAI YA KUWEPO UDANGANYIFU. PAMOJA NA KUONEKANA NI CHAGUZI HURU, ILA BINADAMU HARIDHIKI, WEWE UNASEMA NI UCHAGUZI WA HAKI, LAKINI MARTHA KARUA ANASEMA ULIIBWA