Mange Kimambi just sued Meta, and she should.
She used Facebook, Instagram, and WhatsApp to show what Dictator Samia Suluhu s government did not want the world to see: killings, disappearances, and a stolen election. Millions were watching. Then the accounts vanished.
Meta calls it policy. She says the government asked, and Meta obeyed.
I believe her because we have lived a quieter version of the same thing.
Our pages have been restricted for nothing. One is no longer being distributed at all. Others would disappear for two days and then reappear with no explanation and no chance to appeal. It happened whenever we exposed what the Ruto government wanted hidden.
This is the pattern: When a government cannot reach you, it leans on Meta. Meta folds. The critic is silenced. The next video of a raid, a body, or a lie has nowhere to go.
Mange is taking them to court. Stand with her.
Meta should restore every account it killed to please a government, and stop doing the dirty work of regimes that fear their own people.
Ruto & Samia Suluhu should never win over freedom of speech.
Hii taarifa ni ya ndani sana hadi naogopa!
Iko hivi, Nchimbi anataka kumuua Mama kutokana na kupishana kwa muda mrefu katika kufanya maamuzi mengi na wakati mwingine bila yeye kushirikishwa. Anaamini ni tamanio la watanzania wengi mama kuuawa kama walivyouawa wapendwa wao MO29.
Ile video ya Sativa anaokolewa na wasamaria wema is not for the weak..🥺🥺
This brother has seen enough, has suffered.. na documentary anaongea kingereza safi
Habari zenu Watanzania, wauwaji bado wanahangaika kutafuta legitimacy. Lazaro Nyalandu ndio anaewatafutia hiyo mikutano yote ya kupiga picha na viongozi wa nchi za nje.
Kwa sasa Nyalandu yuko Marekani anawatafutia mikutano mingine, so far Kampatia Zungu mkutano na speaker wa Bunge la Marekani. Watanzania hawa wauwaji wasiwadanganye na hizi photo ops wanazofanya. Ni hivi mikutano ya viongozi ya kiserikali pale wanapolia na kuomba sana huwa inafanyika, hata Kim Jon Un hupata mikutano. Hata wawakilishi wa serikali ya Iran bado wapo huko EU. It doesn’t mean anything.
Mkitaka kujua it doesn’t mean anything Zungu kaambiwa aende ubalozi wa Marekani kuomba visa kama kajamba nani mwingine. Foreign affairs wame maindi ile mbaya why speaker wao haram anaambiwa akafanyiwe interview ya visa.
Tulia tayari alikuwa na visa ya Marekani tangu mwaka jana. So wanaitumia hiyo visa ya zamani kujaribu kuhadaa watu.
Hao watatu wanakuja kwa ajili ya Prayer Breakfast.
Soon mtaona kuwa they are just wasting pesa za walipa kodi na hizi safari za kujisafisha kwa mauwaji. Soon rungu linashuka.
Nyalandu ni adui mkubwa wa Watanzania na ni rafiki mkubwa wa wauwaji.
"My mother gave me the name Rogerio, and then my father gave me the name Patrick."
"But I like the name my father gave me."
Patrick.
Patrick Chamusso.
My father came from Mozambique with the migrant workers to the mines of South Africa.
Uzi👇
Cell No. 2
DANGEROUS CRIMINAL
Goma linaitwa NAKUPENDA ya kiswahili kabisa 😁@davido ft @scotts_maphuma kesho dude linaachiwa...plz tuwasupport hawa ma homeboy tupende vya kwetu waisa👊👊
MAJIZZO TULIA
Blaza ungekuwa kweli unataka SULUHISHO, ungemcheki Sugu, Master J, na wengine ukafanya kikao kujua kipi kifanyike.
Pia unge address the real problem, badala ya kutuambia sijui walikuwa wanatafuta riziki.
Usitake kuwa HERO, na kujipa umuhimu !! Watu HATUITAMBUI wala HATUITAKI Serikali haramu, na tunajua wewe na Taasisi yako mlikuwa ni supporters wa Madhalimu hao. So maneno yako hayana mashiko… ungeuchuna tu !!
And please, acha kutumia jina la Nabii mwenye maono RUGE MUTAHABA! Gen Z na Sisi tunachojua ni kuwa Ruge alisema “Muogope Mungu na Teknolojia”.
Usituambie mambo ya Ruge asingeruhusu… blah blah blah!! Pambana na hali yako, weka legacy yako, acha Ishomile apumzike.
Na kwa kua umeshindwa kuongea ukweli, kama hiyo serikali yenu haramu, subiria andiko langu kuhusu WASANII. laja
The Leader
Kipindi ambacho Watanganyika wanahitaji FARAJA, yeye anawapatia MICHAMBO
Na kipindi ambacho watanganyika wanahitaji Majibu ya kueleweka yeye analeta VITISHO
Hakuna HOJA yoyote Muhimu iliyojibiwa
NDUGU MAKASUKU WENZANGU MISAHAU KUWA!
MAANDAMANO NI DECEMBER9!
MAANDAMANO NI DECEMBER9!
MAANDAMANO NI DECEMBER9!
MAANDAMANO NI DECEMBER9!
MAANDAMANO NI DECEMBER9!
Kindly Retweet✊️
Basi wasomaji wa kote kwenye subscription channel na kwenye Mange Kimambi App wote wameniamuru content hii ije kwenye public sababu ni public interest.
.
Hii ni list ya mwezi April 2025 ya transfer viwanja vinavyotakiwa kubadilishwa majina kwa wamiliki wapya. Yani mtu akininua kiwanja, huwa ardhi wanafanya transfer za hati, so hii ni listi ya April ya watu walionunua viwanja na wakapeleka application ardhi ili wapewe hati za majina yao.
.
Bashite kanunua viwanja vya karibia dola laki 4, yani mwezi wa 4 2025 Bashite katoa 1billion cash kununua viwanja tu. Msaidizi wa mama yule Waziri Salum yeye katoa $130,000 kununua viwanja.
.
Nimeambiwa list ya mwezi may ndo itakuwa kiboko zaidi. Viongozi wanenunua property zamabilioni.Hawa watu ndo maana wako tayari kuua nchi nzima kuliko watoke madarakani. Na nimeambiwa kuwa hizo sale huwa zinakuwa kubwa zaidi ya hiyo number hapo ila wanataka viwe under valued so wanapunguza bei. @mariastsehai @godblessjlema1 @tundulissutz @hechejohn
.
.@CAG pesa zilizokosekana kwenye mahesabu hizi huku
.
By the way kimama hawezi kuwachukulia hatua zozozte hao sababu mtoto wake Abdul anafanya ufisadi zaidi ya huu. Nawahakikishia hatua zitakazochukulia ni nguvu kubwa itapelelekwa kujua nani kaachia hizi documents. Yani kama namuona kimama, ndio order atakayo toa, kwamba atafutwe aliempa Mange hii list. TISS itaacha kazi zoote wiki hii kutafuta listi imefikaje hapa na sio kudili na hao viongozi mafisadi. Nitawaleteeni feedback ya nguvu itayopelekwa kule ardhi kujua leak imetokea wapi.
.
.
.
UPDATE
Kuna MDAU kaja kuniambia sasa hivi kuwa huyo Nyambuli Mashauri ambae kamfata Waziri Salum Hapo kwenye listi huyu ni yule mpambe wa Rais anaevaaga sare ya jeshi. Ila I’m not sure kama ni yeye.
UPDATE
Deo Ndejebi pia yuko kwenye hii list ya mafisadi.