@ayubu_madenge Kaka nyakati zinabadilika, Matishio yanabadilika, kumbuka pia uchumi wa Tanzania wakati ule sio wa sasa, Population na matishio kwa VIP hayawezi kufanana. Ulinzi wa VIP kuna nyakati sio kwa utashi wake.
Inasikitisha sana kuona Waziri yuko bize akibishana na wananchi mitandaoni kuhusu adha wanayoipata kwa mitandao ya simu badala ya kudili na hiyo mitandao kutatua kero za wananchi. Kuna viongozi wa ajabu sana.
@CarolNdosi @shantelly_Membe Haiwezi kuwa mfano hayo sio majukumu ya jeshi, na hali haijafikia kusema polisi wameshindwa kudhibiti, pia kinachenda kufanyika hapo ni intelijensia ya kuwabaini waalifu ili wakamatwe hayo sio majukumu ya komando hata kwa bahati mbaya.
@Liberatus80 Mnatumia mihemuko kufanya vitu rahisi, kwani ungeingia umevaa fulana yako kawaida ukiwa na agenda zako kichwani na ukaziwasilisha kiistaraabu ungepungukiwa nn. Mnaweza kuwa mnamawazo mazuri ila mtindo wa kuwasilisha ni wa kiubabe na kutafuta kiki. Mapicha mavideo🤷🏽♂️
@habibu_anga Hizo ni fikra zako mkuu. Huna taarifa za muundo wa chombo hicho, haujui mifumo ya kiutendaji, kurugenzi za chombo. Namna reshuffle na transformation zinavyofanyika, Kwasababu chombo hiki hakielezei mafanikio na mambo yake haimaanishi kipo hovyo. Toa maoni usiweke hisia zako.