A health research scientist at Ifakara Health Institute in Tanzania. Specialized in Sexual and Reproductive Health and Rights. Interested in Public Health.
It's almost here! The virtual news show on immediate kangaroo mother care is on April 19th at 8 am CT/2 PM GMT. Don't miss this opportunity to hear about #iKMC impact from @joylawn. Register: https://t.co/idbhsnD9qq #globalhealth#iKMC#AAP#skintoskin#gatesfoundation
@ClatousCC I wish you could be trying to score by yourself. You sometimes pass the ball while you were in a better position than the one who end up in a mess. Ufungage bro! Kula ugali ufumue mashuti makali!!
@kitilam Natamani wanaounga mkono na kusifia kazi hii bila kutanabaisha kuwa pamoja na ajali na ulemavu, ina madhara ya kudumu ya kifua, wawe tayari kuwaandalia bima za afya za maisha.
@kitilam Kama mtaalamu wa Afya ya jamii, sina budi kutumia nafasi hii kusema kuwa, wakati tunawasifu na kusisitiza kuwa ni kiungo muhimu, tuwaeleze wazi kuwa kazi ya Bodaboda ina madhara makubwa ya muda mrefu ya mfumo wa kupumua na kama viongozi tuwaeleze tunawalinda vipi?
@SuluhuSamia Mwenyezi mungu azidi kukubariki na kukulinda. Akupe maisha marefu, uzidi kufanikiwa katika wajibu wako na katika familia yako. Tunakupenda sana.