Nitakuambia this, and inabidi tu uelewe.. (WABABA MTANIKOSOA)
Men are built to solve problems, ukiona hakwambii anachopitia ni sababu anajua hutatoa msaada.. utaanza kumuonea huruma. Au utakitumia badae kama FIMBO ya kumchapia!
Atakuambia hayuko sawa, ila Huwa hawaendi in details "UNLESS" ANAJUA YOU CAN HELP HIM SOLVE THE PROBLEM AT HAND..
Mimi nimekaa sana na wababa site, Kuna saa mtu unamuangaliaaa.. unamwambia tu "KAKA, NENDA NYUMBANI KAPUMZIKE!" without interfering..
Sasa Hika huyo wa nje kama angependwa si angeoa/angeolewa?
Kuna mapenzi, mazoea, illusion na kaumalaya tunachanganya sana hapo, uwezi kulala na kuamka na mtu usiempenda for the rest of your life.
Ndoa ni zaidi ya kupendana.