Mkumbushe Mwanao kuwa kama Anatokea maisha ya kipato cha Chini Kama mimi😒 inabidi aelewe Tu, Chance ya kutoboa ni Ndogo sana maana mfumo haumtambui hivyo basi kama ni kuhustle anatakiwa ahustle mara kumi zaidi ya wengine bila Aibu azingatie sana AFYA...
Katika harakati za Ukombozi Duniani kote, Utamaduni wa HipHop hatuwezi kuuacha nyuma.
Safari hii hatumpi Maua MKATO, bali tunampa Bustani kabisa na kipande kingine amkatie mwanae ABIUD 👊🏾
Bonge moja la korasi naimani kila Askari mwenye akili timamu, korasi hii imeingia🚶🏾♂️
Lazy flows cause my pockets obese
Oh please!
Shoutout to the OGs
The oldies on these old beats
And newbies
Who wanna catch a fade like some old jeans
Niggas on my nuts like Oak Trees
Oh geez!
Ladies stay falling like Oak leaves ...
https://t.co/z6oabxqa3D 😤🥶🇹🇿🔥
Huyu jamaa anatumia handle ya @k_menja
Ni msomi na mjuvi wa mambo mengi ya nchi.
Sikutegemea kama anaweza kunifahamu kwa harakati za hapa X
"We si Buyobe"?
Alinipita sehemu na kuniuliza.
Hali iliyoniacha na mshangao