"Kuna watu wanasema Nchimbi tatizo lake ni ana vimisimamosimamo hivi. Ni kweli na kwa hili ni lazima tuelewane tu kwenye mambo ya msingi mimi nina msimamo. Kama mnataka kunitimua kwa misimamo nitimueni leo leo."
"MwanaCCM asiye na msimamo ni ndumilakuwili tu, sio sifa ya kuwa mwanachama".
Dr Emmanuel Nchimbi
Sema mkuu hapa alikuwa anatoa code kali sana katiba mpya ipatikane inaonekana alikuwa hawezi hata kuagiza mtu hii sio script aiisee nchimbi alikuwa busy kukomboa taifa liwe katika misingi yake👇👇
Hivi hawa huwa wanapewaga za ndaani na Wanasiasa wabobezi ili waonekane wametabiri sawa kwa maslahi yao mapana kwetu RAIA ama namna gani ??? Mbona kwenye mampira huku mnatuacha solemba
#TANZANIA: TWAHA MWAIPAYA AFUNGUKA MAZITO UNDANI WA KUJIUZULU KWA NCHIMBI, "TUTAMUUNGA MKONO AKIPAMBANIA HAKI"
Baadhi ya watanzania haswa mrengo wa upinzani wamejitokeza kumuunga mkono Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya wito wake wa kupata katiba mpya, na wengi wanasema wataendelea kumuunga mkono hata baada ya kujiuzulu kwake.
Tazama ZAIDI: https://t.co/INkPZtz8gV
Bungeni:
Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.
Ndalichako ameyasema hayo leo, Agosti 26, 2026, wakati akiuliza swali katika Wizara ya Nishati, kwenye Mkutano wa Nne wa Bunge, Kikao cha Kwanza.
Amesema wananchi wanatamani kupata umeme, akibainisha kuwa hali hiyo inashangaza zaidi kwa kuwa Serikali imekamilisha Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere, lakini baadhi ya maeneo bado hayajafikiwa na huduma hiyo.
Bwawa la Mwalimu Julius Nyerere lenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 lilizinduliwa rasmi Agosti 22, 2026.
Uvccm msijione mko salama,machawa wa mitandaoni pia msijione mko salama kisa mnavaa kijani kuna siku watawageuka.Ifike mahali tuungane kupambania haki zetu.
"Kama watu wachache wanaishi maisha ya fahari fahari na watu walio wengi hawapati hata mahitaji yao ya lazima, hatuwezi kudumisha amani na utulivu nchini mwetu," Nyerere-Agosti 16, 1990.